
Ø
Afadhali Kuraruka nguo kuliko kuraruka
akili
Ø
Do not think inside the box, neither
think outside the box. You should remove the box and think free.
Ø
Fare haijapanda ni wewe ndiye umesota
Ø
Hatusemi wewe ni mnono lakini ukikalia
viti mbili LIPa
Ø
I may not be smart, good looking or
rich but am available
Ø
If you mix business with women you will
see dust
Ø
Ka uko na haraka shuka uende na
ambulance
Ø
Kulipa ni Lazima, change ni ukikumbuka
Ø
Kuzeeka sio kuchapa
Ø
Lala uporwe
Ø
Lipa bila fujo… hi kazi ni ngumu
Ø
Masomo yakizidi gharama, tumia ujinga
Ø
Mzee ni wewe
Ø
Tukutane Hague kama kutaendwa
Ø
Unajifanya migingo Unganganiwe na nani
Ø
Usifungue kioo, kama ulitaka upepo
ungepanda boda boda
I know the list is endless and you
could be having some jokes to add up, so go on…..
No comments:
Post a Comment